Kwa mujibu wa Ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Marasimu ya maombolezo ya Kuuawa Shahidi Hazrat Fatimah (s.a) katika masiku ya Kwanza ya Fatimiyyah, yalifanyika na kupitia Jumuiya ya Kisayansi na Kiutamaduni ya Rehanat Al-Nabi (s.a.w.w) katika Mji wa Kabul.
17 Novemba 2024 - 19:27
Msimbo wa Habari: 1505474